Connect with us

Songs

Upo Nyonyo By Saraphina

Find Download Link of Upo Nyonyo By Saraphina MP3, Upo Nyonyo By Saraphina MP4 Video and Upo Nyonyo By Saraphina Lyrics for FREE!

Published

on

Upo Nyonyo By Saraphina Mp3 Download

Upo Nyonyo By Saraphina - Download Upo Nyonyo By Saraphina Mp3 Song Music to your devices with 320kbps ultra high quality audio for Free at Mp3 Juice. You could also find the complete lyrics of Upo Nyonyo By Saraphina and video clip as well. All the songs provided are belong to YouTube, we do not host any single of songs and music on our site, Enjoy Downloading!

Upo Nyonyo By Saraphina

Title Upo Nyonyo
Artist Saraphina
Album Upo Nyonyo
Year 2022
Duration 3:51
File Size 3.52 MB
File Type MP3
Audio Summary 44100 Hz, stereo, s16p, 192 kb/s
Source YouTube Music

Download MP3

Lyric of Saraphina - Upo Nyonyo

Shamba la babu, nalima
Nivune muhogo na shina
Ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima

Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi

Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala

Eeh

Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
Aah, nimejaa tele

Aaah
Nipo nyonyo, nipo titi
Aah nimejaa tele
Nalishwa vinono
Nipo fiti
Aah nimejaa tele

Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi
Kabisa n'garagaze
Mpaka ni dead

Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi

Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala

Eeh

Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
Aah, nimejaa tele

Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
Aah nimejaa tele
Nalishwa vinono
Nipo fiti
Aah nimejaa tele

Upo Nyonyo By Saraphina Video Clips:

Related Posts